Elimu ya dini ya kiislamu kidato cha pili

Education is a profession that is enriched by human beings as soon as they are created so that they can live and achieve the goal of their creation on Earth. does not have to have all the disciplines in Environmental and Manual Education, the lack of one of which leads to a shortfall in the effective execution of its responsibilities which will lead to the achievement of the goal. 

Thus Islam will not reap its benefits until both the Environmental Education and Guidelines are read and implemented in full compliance

Malengo Mahsusi ya Somo la E.D.K. Kidato Cha Pili
Baada ya kumaliza Kidato cha Pili, mwanafunzi aweze;
  1. Kuelewa njia za kumjua Mwenyezi Mungu.
  2. Kufahamu haja ya dini kwa mwanaadamu.
  3. Kutekeleza mambo ya faradh kufanyiwa maiti ya kiislamu.
  4. Kubainisha swala za Sunnah.
  5. Kufahamu utekelezaji wa nguzo za Zakat, Swaumu na Hijja. 
  6. Kusoma, kuhifadhi na kueleza mafunzo ya sura zilizochaguliwa.
  7. Kuelewa historia ya uandishi wa Hadith na sayansi ya Hadith za Mtume (s.a.w).
  8. Kuelewa historia ya kuhifadhiwa Quran wakati wa Mtume (s.a.w).
  9. Kujadili mafunzo yatokanayo na historia ya Uislamu kipindi cha Mtume akiwa Makkah.
Click here to download all notes in our App

ADDITIONAL BOOK FOR FORM TWO EDK
kitabu hiki cha pili cha 'Elimu ya Dini ya Kiislamu Shule za Sekondari". hiki ni kitabu cha kiada cha somo la Elimu ya Dini ya kiislamu kwa kidato cha PILI . mada za somo hili zimegawanywa katika fani tano 
imefanywa sura ya kitabu hiki kama ifuatavyo:
  1. Tawhiid
  2. Fiqh
  3. Qur’an
  4. Sunnah na Hadith
  5. Tarekh(Historia)